Msaada

Msaada

Mi nilitaka kutengeneza image window Kutoka kwenye CD
tumia imgburn ndio mambo yake hayo, halafu ni bure.

index.php


The Official ImgBurn Website
 
Mi ninayo ambayo nikiwa natengeneza haifki mwisho inaishia katikat
 
Yenyewe haija be registered make ikifika katika hua wananiambia niiregister ili iweze kukamilika na nimejarb nimeshindwa,nahitaj maelezo ya kina zaidi
 
Back
Top Bottom