Msaada

Ivi inawezekana kuunganisha namba ya mtu mwingne na yakwangu ili call na mesej zake nizipate

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaonekana una ' Wivu ' sana halafu ' unachapiwa ' mno ' Shemela ' wetu japo katika maelezo yako umepita / umezunguka njia ya mbali sana ila tuliobarikiwa IQ za haraka na zilizotukuka na Mwenyezi Mungu tumeweza ' Kukung'amua / Kukusoma ' . Pole sana Mkuu na Wewe jitahidi tu umtafute wa Mnyonge mwenzio ili mpambane vizuri na hali zenu kwa ' Kubanduana '. Na usipokuwa makini na kuachana na ' Wivu ' utakuja Kukuua siku moja.
 


Ni bi dada huyu mzee Genta.
 
Inawezekana ila kisheria ni kosa sbb unakuwa unaingilia mawasiliano ya mtu.

Philips X2560
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…