Nahitaji kuhamisha line ya simu toka moja kwenda simu nyingine mpya,nahitaji kuhama na msg zote za simu A kwenda simu B.nini naweza fanya?maana kuna msg muhimu ktk maisha yangu nitazitumia siku za usoni
Mwenye utundu huu tafadhari anipe msaada