Msaada

Manwambele

Senior Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
110
Reaction score
175
Naombeni msaada jaman Nina desktop yangu nimebdlisha harddisk inagoma kuwaka msaada jaman...
 
Pole lakin kama sio fundi kilichokufanya kuingilia kazi zawatu nini???
 
Chemsha maji yawe ya moto weka pakiti ya chumvi tumbukiza kwa masaa 4 itoe weka katika mfuko wa nylon weka sehemu yenye giza sana kwa wiki 1 itoe chukua adapter weka moto isipo waka njoo hapa kwa ushauri mwingine.
 
Ndo nini hiyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…