Msaada

G 4real

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
454
Reaction score
212
Naomba kwa anaejua hili anisaidie....

1. Nina mdogo wangu kapangwa chuo cha st Joseph kusomea MD...
Fees ni zaidi ya million 6 kwa mwaka...
Je..akipata 100% kutoka HESLB inamaana hiyo yote italipwa na serikali au kuna kikomo cha kulipa serikali??

2. Kuna uwezekano wa kubadilishiwa chuo ukiomba????


Natanguliza shukrani...
 
Mkopo ambao hutolewa na serikali kwa kiwango cha juu kabisa kama asilimia mia ni Tsh. 1,500,000 inayobakia ni juu yako
 
Admission ya hicho chuo ni lini,? Na mkopo wanazingua hapo bado accomodation cjui stationary na nn kama vip ahame chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…