Msaada

Msaada

Joined
Aug 25, 2013
Posts
26
Reaction score
3
Za jioni wadau
Naombeni msaada kidogo kwa wataalamu,simu ya tecno c8 haileti notifications kwa muda sahihi mpaka ufungue app husika ndo utapta notification mfano instagram,sms,whatsap,jfm na kadhalika
Bila kufungua app huwezi ona notification
Kwa wataalamu naombeni msaada wenu
 
Ningekusaidia ila, "Unfortunately, my keyboard has stopped working."
 
Hili tatizo hata ndugu yangu linamsumbua nimehangaika nimeshindwa ila jaribu hivi maana imesaidia kidogo nenda setting>>App managment>>juu kulia kuna kuna vidoti gusa hapo alafu gusa neno la pili alafu piga ok
1475642421666.png
1475642429848.png
 
Hata mimi yangu huawei inaniletea Ujumbe kila Mara "the Google Android phone has stopped" nimejaribu ku reboot lakini wapi
 
Back
Top Bottom