habdul64 Senior Member Joined Dec 24, 2014 Posts 153 Reaction score 67 Jun 18, 2016 #1 habari zenu waungwana..naomba msaada kwa mwenye kuweza nisaidia screen ya aina ya laptop yangu..Ni HP PROBOOK 6570b. Nahitaji screen yake kwakua yakwangu imeharibika..naomba kama utaweza nisaidia unijulishe unapatikana wapi..mi nipo Dar.
habari zenu waungwana..naomba msaada kwa mwenye kuweza nisaidia screen ya aina ya laptop yangu..Ni HP PROBOOK 6570b. Nahitaji screen yake kwakua yakwangu imeharibika..naomba kama utaweza nisaidia unijulishe unapatikana wapi..mi nipo Dar.