soul provider JF-Expert Member Joined Jun 21, 2014 Posts 1,390 Reaction score 2,310 Feb 1, 2016 #1 Habar ya wakati wanajukwaa, Naomba kuuliza nichukue course gani degree ili nije kuwa auditor? Kwa kweli napenda kufanya kazi hii ila sijajua ni masomo gani haswa nisome ili nifikishe malengo yangu.. Msaada Tafadhali!
Habar ya wakati wanajukwaa, Naomba kuuliza nichukue course gani degree ili nije kuwa auditor? Kwa kweli napenda kufanya kazi hii ila sijajua ni masomo gani haswa nisome ili nifikishe malengo yangu.. Msaada Tafadhali!
rutabazi JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 497 Reaction score 294 Feb 1, 2016 #2 watakuja wakujuze wataalamu