M Mbagala Tz Member Joined Mar 16, 2017 Posts 57 Reaction score 42 Oct 8, 2019 #1 Wadau nahitaji kutuma kabox kangu kigoma naombeni msaada mnielekeze ni wapi zilipo ofisi za saratoga hapa dar ili nipate tuma mzigo wangu Natanguliza shukrani
Wadau nahitaji kutuma kabox kangu kigoma naombeni msaada mnielekeze ni wapi zilipo ofisi za saratoga hapa dar ili nipate tuma mzigo wangu Natanguliza shukrani
Mtundu wa Tech JF-Expert Member Joined Aug 19, 2019 Posts 644 Reaction score 614 Oct 8, 2019 #2 Tusubiri wanaofahamu japo unaweza kufuatilia kwanza kupitia Google maps Mbagala Tz said: Wadau nahitaji kutuma kabox kangu kigoma naombeni msaada mnielekeze ni wapi zilipo ofisi za saratoga hapa dar ili nipate tuma mzigo wangu Natanguliza shukrani Click to expand...
Tusubiri wanaofahamu japo unaweza kufuatilia kwanza kupitia Google maps Mbagala Tz said: Wadau nahitaji kutuma kabox kangu kigoma naombeni msaada mnielekeze ni wapi zilipo ofisi za saratoga hapa dar ili nipate tuma mzigo wangu Natanguliza shukrani Click to expand...
CaptainDunga JF-Expert Member Joined Jul 17, 2009 Posts 1,611 Reaction score 1,434 Oct 8, 2019 #3 Zipo nyuma ya Club ya Wazee Ilala-Bungoni…. Fuata barabara ya lami inayopita mbele ya geti la Amana Hospital kwa mbele utaziona mkono wa kulia….. Kama bado hawaja hawaja hama(Sijui maelezo yangu yame eleweka?) Mtundu wa Tech said: Tusubiri wanaofahamu japo unaweza kufuatilia kwanza kupitia Google maps Click to expand...
Zipo nyuma ya Club ya Wazee Ilala-Bungoni…. Fuata barabara ya lami inayopita mbele ya geti la Amana Hospital kwa mbele utaziona mkono wa kulia….. Kama bado hawaja hawaja hama(Sijui maelezo yangu yame eleweka?) Mtundu wa Tech said: Tusubiri wanaofahamu japo unaweza kufuatilia kwanza kupitia Google maps Click to expand...