kinjekitile ngombale mwiru naye mjua mimi ni huyu half cast, huyu mwingine nilimuona akiongea kwenye luninga kipindi cha kampeni akisema baba yake amepotoka naye anaitwa jina hilo hilo? wote ni watoto wake wanaotajwa tajwa kwenye ile biashara ya naniliu?