Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,826 Reaction score 14,018 Aug 16, 2022 #1 Habarini wadau! Naomba maujanja kuna data ziko disk ila hiyo disk haiwezi funguka mpaka uifomart kwanza! Nawezaje kuokoa data zangu ziwe salama salmini?
Habarini wadau! Naomba maujanja kuna data ziko disk ila hiyo disk haiwezi funguka mpaka uifomart kwanza! Nawezaje kuokoa data zangu ziwe salama salmini?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Aug 17, 2022 #2 Tafuta linux os (eg ubuntu) boot live okoa data zako haraka, ikiwa haitasoma nenda kwenye disk utility mount hiyo disk
Tafuta linux os (eg ubuntu) boot live okoa data zako haraka, ikiwa haitasoma nenda kwenye disk utility mount hiyo disk
IamJackReacher JF-Expert Member Joined Apr 1, 2018 Posts 305 Reaction score 403 Aug 17, 2022 #3 umefanikiwa?
D Duc in altum JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,076 Reaction score 4,645 Aug 17, 2022 #4 Mpinzire said: Habarini wadau! Naomba maujanja kuna data ziko disk ila hiyo disk haiwezi funguka mpaka uifomart kwanza! Nawezaje kuokoa data zangu ziwe salama salmini? View attachment 2325774 Click to expand... Else tafta PC nyingine ambayo haina anti virus au uzidisable anti virus kweny PC yako, ukipata yenye Linux itakuwa poa.
Mpinzire said: Habarini wadau! Naomba maujanja kuna data ziko disk ila hiyo disk haiwezi funguka mpaka uifomart kwanza! Nawezaje kuokoa data zangu ziwe salama salmini? View attachment 2325774 Click to expand... Else tafta PC nyingine ambayo haina anti virus au uzidisable anti virus kweny PC yako, ukipata yenye Linux itakuwa poa.
Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,826 Reaction score 14,018 Aug 17, 2022 Thread starter #5 IamJackReacher said: umefanikiwa? Click to expand... Bado mkuu ila natafanya recover hapa ikimaliza nione kama vipo au lah
IamJackReacher said: umefanikiwa? Click to expand... Bado mkuu ila natafanya recover hapa ikimaliza nione kama vipo au lah
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,549 Reaction score 21,675 Aug 17, 2022 #6 FANYA RECOVERY TU HAMNA NAMNA TENA, KUNA SOFWARE ZIPO NYINGI MTANDAONI NA FREE, unaweza kutumia hii pia ni bure. naona jf wamezuia kuweka app kwa site yao
FANYA RECOVERY TU HAMNA NAMNA TENA, KUNA SOFWARE ZIPO NYINGI MTANDAONI NA FREE, unaweza kutumia hii pia ni bure. naona jf wamezuia kuweka app kwa site yao
Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,826 Reaction score 14,018 Aug 17, 2022 Thread starter #7 Donnie Charlie said: FANYA RECOVERY TU HAMNA NAMNA TENA, KUNA SOFWARE ZIPO NYINGI MTANDAONI NA FREE, unaweza kutumia hii pia ni bure. naona jf wamezuia kuweka app kwa site yao Click to expand... Ukitaka kuupload software ya recovery au?
Donnie Charlie said: FANYA RECOVERY TU HAMNA NAMNA TENA, KUNA SOFWARE ZIPO NYINGI MTANDAONI NA FREE, unaweza kutumia hii pia ni bure. naona jf wamezuia kuweka app kwa site yao Click to expand... Ukitaka kuupload software ya recovery au?
Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,826 Reaction score 14,018 Aug 17, 2022 Thread starter #8 Donnie Charlie said: FANYA RECOVERY TU HAMNA NAMNA TENA, KUNA SOFWARE ZIPO NYINGI MTANDAONI NA FREE, unaweza kutumia hii pia ni bure. naona jf wamezuia kuweka app kwa site yao Click to expand... Ukitaka kuupload software ya recovery au?
Donnie Charlie said: FANYA RECOVERY TU HAMNA NAMNA TENA, KUNA SOFWARE ZIPO NYINGI MTANDAONI NA FREE, unaweza kutumia hii pia ni bure. naona jf wamezuia kuweka app kwa site yao Click to expand... Ukitaka kuupload software ya recovery au?
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,549 Reaction score 21,675 Aug 17, 2022 #9 Mpinzire said: Ukitaka kuupload software ya recovery au? Click to expand... yes, itafute google inaitwa 'fast file recovery'.
Mpinzire said: Ukitaka kuupload software ya recovery au? Click to expand... yes, itafute google inaitwa 'fast file recovery'.
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,528 Reaction score 21,812 Aug 17, 2022 #10 Pancras Suday said: Tafuta linux os (eg ubuntu) boot live okoa data zako haraka, ikiwa haitasoma nenda kwenye disk utility mount hiyo disk Click to expand... Fuata ushauri huu kwa haraka
Pancras Suday said: Tafuta linux os (eg ubuntu) boot live okoa data zako haraka, ikiwa haitasoma nenda kwenye disk utility mount hiyo disk Click to expand... Fuata ushauri huu kwa haraka