wakuu habar...nilikua najarbu ku udate clockworkmod ya kweny galaxy s2 yangu via odin,sasa nikafanikiwa vizuri ila tatizo simu inawaka inaishia pale inapo sema samsung galaxy s2 af haileti menyu inaganda tu hapo hapo na kwa chin kuna yellow triangle inakua displayed.msaada wakuu nashindwa kufanya chochote hapa.
yap ilikua rooted,sikuweka custom ROM ndo nliweka clockworkmod ili nije ku install custom rom,sasa ndo kuwasha simu nakutana na hayo majanga.Simu yako ilikuwa rooted kabla ya ku install clockworkmod? Simu yako ilikuwa inatumia custom ROM na unlocked bootloader?
Wakuu habari,
Nilikua najaribu ku update clockworkmod ya kwenye galaxy s2 yangu via odin. Sasa nikafanikiwa vizuri ila tatizo simu inawaka inaishia pale inapo sema samsung galaxy s2 alafu haileti menyu inaganda tu hapo hapo na kwa chin kuna yellow triangle inakua displayed.
Msaada wakuu nashindwa kufanya chochote hapa.
mkuu simu inaishia kuwaka mpaka pale inapo leta samsung galaxy basi.hvyo hata kwenye menyu sifikiBinary counter.... Umeroot au umeinstall custom recovery.... Ingia Google au play store download triangle away.... Au kama wataka ya bure nenda Appdroid - Download Paid Android Apps for Free!
oke mkuu ngoja niwasubir wataalam.tumlack inabid ui restor kwa kuweka new firmware inayo endana na Sim... Sbr waje kina chief-mkwawa wakufahamishe
oke mkuu ngoja niwasubir wataalam.
yap ilikua rooted,sikuweka custom ROM ndo nliweka clockworkmod ili nije ku install custom rom,sasa ndo kuwasha simu nakutana na hayo majanga.