Heshima mbele wakuu nisaidieni namna ya kurecover mail yangu ya Yahoo mwaka 2009 nili update details sasa kwa bahati mbaya nimesahau nilijaza nn!nisaidieni kama kuna helpdest ya yahoo mail kama naweza wasiliana nao maana siwezi kuiacha hii email ina vitu vyangu vingi vya maana wakuu

kama kuna details ulizijaza mfano, wht is ur fav food,?? Au where did u last see ur spouse?? Au ur uncles name na umesahau.. Na alafu hukujaza alternative email iliyokuwa optional.. Basi mkuu imekula kwako... Fungua nyngne

nakumbuka lakini nikijaza zinakataa kibaya zaidi altenative email nilifungulia tabora wakati huo nasoma shule sec mwanzoni mwa 2000 niliweka ya hiyo ofisi huko tabora ambayo nikitumia haiendi kama na yenyewe ilishafungwa hapo ndo napata wkt mgumu sana

labda funguka kidogo....ukijaza inakuandikiaje??????????????nijuavyo sometimes yahoo inazengua ukitumia operamini kwa simu.. Itaifunga account yako.. Jaribu tumia uc browser au tumia pc kabisa kabisa