mkalenda , unafahamu kwanini nchi yetu pamoja na misaada tunayopewa haiendelei??? Ni kwasababu ikichukua mkopo inapeleka kwenye expenses na sio investment. Ingekuwa serikali yetu inakopa kisha ina invest basi suala la budget ya serikali isingetegemea wahisani hata kidogo. Tafakari Kisha Chukua Hatua