Msaada ya Printer ya EPSON

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Nna printer ya Epson Stylus SX525WD.
nikiiwasha inaandika (Printer error. Turn power off and then on again. For detail see your documentation). Nimejaribu kuizima lakini wapi naomba msaada kwa anayefahamu. Natanguliza shukrani.
 
Wakati unazima na kuwasha hakikisha karatasi hazimo kwenye printer
 
Wakati unazima na kuwasha hakikisha karatasi hazimo kwenye printer

Kwa kuwa ina hako kaugojwa hata karatasi sijaweka. Mi nafikiri labda ni issue inayohusu software kwa mawazo yangu.
 
Kwa kuwa ina hako kaugojwa hata karatasi sijaweka. Mi nafikiri labda ni issue inayohusu software kwa mawazo yangu.

Bila shaka pad zake zitakua zimeisha hapo mpaka ununue reset key afu utoe mpira uwe unamwaga wino nje
 
mimi ya kwangu ni epson sx 115 nimenunua wino mpya lakini nilipoweka still inaonyesha kwamba wino hamna nimetoa na kuweka hakuna kilichofanyika na cha ajabu ni kwamba niki print inaenda poa lakini paper inatoka nyeupe na niki copy mashine inafanya kazi poa ila karatasi inatoka tupu hakuna chochote kinachoandika kama kuna mtu yoyote naomba anipe ufafanuzi kuhusu hili
 

Una muda gani hujaifanyia allignment?
 
Una muda gani hujaifanyia allignment?
hiyo epson ilikua ya broo wangu sasa amenipa kutokana na yeye amenunua nyengine mpya ila ana kama mwaka hivi alikua hajaitumia nimedownload setup yake nimeipata na ina saport poa kabisa ila tatizo ni nilo niki fanya copy au kuprint hakuna lolote lile ni white tupu
 

Fata maelekezo kwenye hii link hapa ikishindikana mpaka uifungue nakuzibua matundu hayo ukiwa na bomba la sindano pamoja na spirit ila nivizuri ukapeleka kwa fundi kama njia hapo juu ikishindikana
 
Nna printer ya Epson Stylus SX525WD.
nikiiwasha inaandika (Printer error. Turn power off and then on again. For detail see your documentation). Nimejaribu kuizima lakini wapi naomba msaada kwa anayefahamu. Natanguliza shukrani.

Fata haya maelekezo
This allows you to reset the protection counter and continue using the printer after Epson has decided it needs to be ‘repaired’. Unfortunately this software doesn’t work with the new range of Epson printers, but there is a way to bypass this issue.
Use the program at [url]http://www.refillingcartridge.com/wp-content/tools/ResetterForC79.zip[/URL]


  1. Make sure you printer is ON and connected to your computer
  2. Change your computer’s date to 1 Nov 2006
  3. Run AdjProg.exe file
  4. Click Accept button
  5. Click “Particular adjustment mode”
  6. Select on “Waste ink pad counter” and click OK button
  7. Click on “Initialization” button and the program will reset the protection counter
  8. Click Finish button
  9. Change your computer’s date back
Once that is done the Waste Ink Counter should be reset and you will be able to print once again, without having to buy a new printer.

Warning – this information is supplied purely for information and is not recommended for use if you do not feel confident with the consequences

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…