Msaada wowote wa technlogy na computer utapata solution | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wowote wa technlogy na computer utapata solution

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by edjizzo, Dec 23, 2010.

 1. edjizzo

  edjizzo Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watanzania wote wajamii forums kama yesu alivyo zaliwa mi ndo nimezaliwa kuja kusaidia waafrika.
  unachojua kina kutatiza njoo unia mbie
  mawasiliano 0712484995
  kwenye facebook EDSON KENNEDY
  EMAIL edjizzo@yahoo.com
  blogs :chizicomputer.blogspot.com

  hapa sitatizwi na chochote
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  MSQL server express 2005 master database iko kwenye suspect . unafanyaje kutatua tatizo hili?
   
 3. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu naona unataka kula kichwa faster.

  Huwezi kuwa bingwa wa kitu, ICT ni dude kubwa mno. Ni vuzuri Eddson uache kujidanganya na kuwadanganya wengine. Nahisi hata hilo jina chizi linaweza kukufanya chizi.
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Lakini umuwache kwanza ashindwe kutatua hayo matatizo ndio useme...!

  Mwenywewe amehakikisha kuwa anaweza, kwanini tusimtumie tukafaidika...? Nafasi ndio hii.
   
 5. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Computer yangu ni Dell INSPIRION one 19 Touch desktop Amazon.com: Dell Inspiron One 19 iO19-4834BGA 18.5-Inch Multi-Touch Desktop PC (Polished Black with Graffiti Accents): Computer & Accessories. ilikuja na OS ya windows 7 64bit. Hard drive 640GB. Kwakuwa matumizi ya hiyo hard drive yalizidiwa nikawa na mpango wa kuweka clean hard drive ya 1TB. Nikadownload windows 7 64bit ISO kutoka kwenye internet, nikaiburn vizuri tu. Baada ya hapo nikaweka hiyo hard drive ya 1TB kwenye machine yangu na kuaza kuinstall hii dvd ya windows 7 64bit. Ili boot vizuri na ikaniambia ni press any key ……. Nikafanya hivyo…ika load windows 7 na ikafika wakati ikaleta maneno haya " [FONT=&quot]a required cd/dvd driver is missing [/FONT]nimejaribu kupambana sana hapa ila imegoma. Ninahakika ISO niliyo download ni nzuri kwahiyo naomba usije niambia ISO niliyo download ni mbaya. Ku-burn nime-burn na speed zote yaani ndogo mpaka kubwa nimeharibu zaidi ya DVD 10. Kwahiyo sitegemei jibu la ku-burd dvd. Nimesha badilisha dvd rom za aina mbili yaani [FONT=&quot]DVD-R na DVD+[/FONT] mpaka nimetumia external dvd rom so vilevile naomba jibu lisiwe kuhusiana na DVD rom drive.
  Nimejaribu haya hapa: ila imekataa
  [FONT=&quot]There are a number of potential fixes for this issue, including:

  1. Changing the device boot order in BIOS
  2. Switching from SATA to AHCI
  3. Updating the ATA driver before updating[/FONT]
   
 6. WIRELESS

  WIRELESS Senior Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bro hapo tafuta recovery cd or dvd, lazima hiyo computer ilikuja nazo. kama hauna download from internet.
  hayo mambo mengine bios itaditect automatically.
   
 7. WIRELESS

  WIRELESS Senior Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  majaribu hayo, mwenzako labda yupo kwenye hardwares kwa sana. Wewe unaleta database. Mambo ya codes siyo mchezo!!
   
 8. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  100% nakubaliana na wewe maana ilikuja na recovery dvd. siku za nyuma niliwahi ku-install nayo na ilikubali ila sikuitunza vizuri imepata skrach and its useless. kuhusu kudownload from the internet ndio nimefanya nikapata ISO nikaburn na ndio inanigomea soma maelezo yangu vizuri tusirudi kuyarudia yale niliyofanya tayari.
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ISO uliyodownload ndio mbovu sio uchomaji wake. Nenda Buy New PC Windows 7 Upgrade Pricing System Requirements pata kitu cha kweli.
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Restore kutoka backup.
   
 11. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Mkuu nimedownload ISO nyingine from another location, nimetumia MD5 chechsum kukagua ISO na ipo 100% ok. lakini tatizo lipo palepale its not a bad file. naomba mwenye kujua namna ya kusolve hili tatizo anieleweshe au halijawakuta wengi because recovery dvd's mnazo. Ok jaribu ku save dvd image ya hiyo recovery dvd yako to ISO halafu burn hiyo ISO. ukisha burn hiyo ISO, tumia hiyo DVD uliyoburn ku install a fresh setup, naomba ulete jibu hapa. kumbuka ni windows 7 64bit na si 32bit.
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Issue 1
  Remember master database ni system database. Haiwezi kuwa restore kama user database nyingine.

  Issue 2

  Vile vile copy ya master back up niliyonayo ni ya zamani sana . kwa hiyo Naweza kupoteza logins na user database nyingine zilizokuwa created after

  NB: nilitaka kujua huyu jamaa anavyosema msaada wowote kama ana uhakika anao uzoefu na kiila kitu wenye kpmyuta au kabobea sehemu fulani .
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  mimi ili nijuwe tatizo ni nini

  • Ningejaribu kuinstall Window XP 64

  Kama hii XP ikikubali then utajua sio Hardware problem bali ni software

  hii inaitwa toubleshoting by isolation. Tikijua tatizo ni software sasa tunaweza kudadisi zaidi bila kuwa na wasi wasi wa hardware.

  Kuthibitisha kama ni software jaribu kutumi hiyo CD ya window 7 kufanya installatio kwenye mashine nyingine

  Nimeshauri XP sababu kwangu XP ni most stable Desktop OS ya Microsoft

  Ikisumbua hata kuweka XP then tatizo litakuwa Hardware na itakuwa ni hiyo 1 TB HDD.
  - Ni brand gani
  -specification zake zikoje. mfano read/write inaendanana na mother board (comptibility)
  -Je window 7 inazo driver zake
   
 14. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  mkuu nashukuru kwa mchago wako. lakini ninahakika 100% kuwa sio issue ya hardware its something to do with ISO.
  ninayo dvd iliyokuja na hii pc imeandikwa "microsoft windows 7 64bit" nikiitumia inakwenda vizuri na haileti ubishi pale kwenye " [FONT=&quot]a required cd/dvd driver is missing"[/FONT] ila kwakuwa niliitunza vibaya ikapata mikwaruzo mingi sana inaishia kwenye 0%. lakini inavuka hicho kikwazo hapo kwenye red. na kuhusu 1 TB HDD maana hata nikitumia hii HDD ilikuja nayo ambayo ni 640Gb bado tatizo lipo hapo kwenye red.
  Mimi nahisi huwezi burn ISO ya windows 7 64bit then ukainstall.
  Sol: nitakwenda pale niliponunua hii pc na kuomba wanipatuie DVD ya windows 7 64bit ya pc nyingine halafu nijaribu. nitapost results.
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Ok kamanda lakini kuhusu kubrun DVD ya windows seven inawezekana mbona nimesaburn na kujaribu window 7 ya mazabe. ingawa niliitoa

  Product a aDell sometime huwa zinasumbua driver .Huo ujumbe ilivyo una maana katika kupata jibu .Je ilijaribu kutembelea official forum.website ya dell kwa ajili ya hilo tatizo
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nime google hilo tatizo linaonekana ni common hizi ni solution mbili tofati ambbazo wadau waltumia kutatua
  na nyingine hii hapa
  Kama mashine yakoina boot pia kwa USB na unayo USB ya size kubw jaribu kuweka hiyo ISO kwa USB
   
 17. edjizzo

  edjizzo Member

  #17
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sina shida naela zenu najivunia kwa kipaji nilicho nacho na elimu niyo kuwa nayo kama ela ninazo ukitaka kunipa niwewe tu watu nyie kwenye jamii amtakiwi ningetangaza dau mapema lakini ilo cna nikusaidia watanzania wenzangu .kama una kazi za kufanya acha kusema wenzako.
   
 18. edjizzo

  edjizzo Member

  #18
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msaada wakutakua msql yako
  Now you'd hope that if you don't have a valid msdb backup then you can at least run repair on it and so you don't lose everything in there. Well, that works as long as the transaction log isn't damaged. Ok, but then surely we can stick the database into the now-documented emergency mode (alter database dbname set emergency) and run emergency mode repair? (dbcc checkdb (dbname, repair_allow_data_loss) in emergency mode). Nope, msdb can't be put into emergency mode.
  So, you're out of options and you're going to have to recreate msdb. Here's what to do (change the directory paths to suit your installation):
  1. Detach the damaged msdb. You can't just detach msdb because you're not allowed to detach system databases. However, you can if you start the server with trace flag 3608. I did this by shutting down the server, navigating to the directory 'C:\Program Files\Microsoft SQL Server\MSSQL.1\MSSQL\Binn' and doing the following: start sqlservr.exe -c -T3608
  2. Move or rename the damaged msdb files (msdbdata.mdf and msdblog.ldf in the 'C:\Program Files\Microsoft SQL Server\MSSQL.1\MSSQL\Data' directory)
  3. Run the instmsdb.sql script in the 'C:\Program Files\Microsoft SQL Server\MSSQL.1\MSSQL\Install' directory
  4. Shutdown and restart the server without the 3608 trace flag
  This works on SQL Server 2000 as well.
   
 19. edjizzo

  edjizzo Member

  #19
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swali zuri sana nenda kwenye configuration bios ya computer yako utakuta sehemu ya booting system na jaribu ya kwanza iwe cd rom na yapili hard disk
  alafu update bios yako ambayo mfumo wa usomaji upo katika sata uende kwenye ahci (jumla kazi zote ziko kwenye bios servervice)tafuta option ya kufungua bios na kingine zaidi ni hiyo os uliyo download toka torrent ume angalia comment ujui mambo ya internet mtu anajisikia anavyotaka kufanya jalibu os nyengine yenye 64 bit kama unashida edjizzo@yahoo.com 0712484995
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu zaidi ya kuelimishana hapa tunapeana changamoto.
  Pamoja na utaalam wako bado una tatizo moja.

  • Hutambui mchango wa wenzako. Umecopy na kupaste moja ya solution lakini hujaonyesha link.
  Pamoja na utaalam ukichukua idea ya mtu au link onyesha. Haimanishi kwa kutumia idea ya mtu wewe sio mtaalam. Lakini ukificiha hapo unakuwa sio mtaalam.

  Maelezo haya umeyachukua kama yalivyo kutoka sehemu kama
   
Loading...