Msaada with Huawei ascend y200 kwa anayejua

Msaada with Huawei ascend y200 kwa anayejua

Lalo Salamanca

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
1,553
Reaction score
1,149
Nina Simu ya Huawei ascend niliyoinunua tigo ila imefanyiwa sim lock yaani ikubali line za tigo na mi nahisi nimewachoka,kwa anaefahamu njia rahisi ya kuiunlock anisaidie...,
 
vp kuhusu ubora na mapungufu ya hiiyo? nimeona maoni ya wengi walioitumia huko india wanasema limited internal memory ni tatizo je ni kwel?
 
Ni kweli...low internal memory and ram..,japo ni simu nzuri,vp imefind anyhow to unlock kaka?
 
vp kuhusu ubora na mapungufu ya hiiyo? nimeona maoni ya wengi walioitumia huko india wanasema limited internal memory ni tatizo je ni kwel?

Limited ram and internal memory vyote viko solvable mbona ukiroot
 
Back
Top Bottom