Wireless internet ya chuo iko limited, baadhi ya site kama YouTube na nyingine za streaming video kama Al Jazeera, MSNBC n.k hazifunguki. Nimejaribu kutumia unblocker za kupaste web zinakataa!
Usihangaike sana... achana na watu wachoyo!! nunua modem yako...ni full kudownload!! ha ha h ah.... video streaming ndo kitu kimekupeleka chuo? ndo maana mnatoka huko hamjui chochote halafu mnaanza kulalamika Wakenya na Warwanda wanachukua kazi Tz.....