Msaada, Wino unaoonekana kwenye screen ya tablet

Msaada, Wino unaoonekana kwenye screen ya tablet

Joined
Jun 27, 2017
Posts
13
Reaction score
18
Habarini wakuu.. Kuna tablet ya samsung 4 imeanguka, sasa screen imepata crack ndogo tu ila tatizoo kubwa ni wino unaonekana umetanda juu ya baadhi ya sehemu kwenye screen..

Naombeni mnisaidie ushauri jinsi ya kutatua hili je kuna uwezekano wa wino kutolewa au ni lazima kioo kibadilishwe?
 
Ni kioo tu kubadilishwa andaa laki kadhaa
 
Back
Top Bottom