Naomba mwenye link iliyopo humu ndani ya jamvi inayohusu hii Windows aniwekee hapa sabau mimi sifahamu jinsi ya ku-search thread zilizopita. Nikipata na ile ya Windows 7 itakuwa vema wakuu. Natanguliza shukrani