Asante
Kang,
Na mie nimeelimika kwa hilo. Nina shida inayoendana na hii ya huyu mwenzetu!
Ya kwangu ni kwamba nime upgrade kutoka Win XP SP3 kuja Win 7 Ultimate na nikaweka Kaspersky Internet Security. Baada ya kuweka hii antivirus PC imekuwa slow kupindukia, sijajua shida ni nini. Antivirus ni genuine. Any technical help with this?
PC ni Dell Optiplex GX 620, RAM 512 MB. 2.4 Ghz