KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
Nina desktop yangu HP inatumia window vista mwanzoni ilikua inapga kazi fresh tu,ila saiv nikiwasha inaishndwa kuwaka kwa maana ya kwamba inashindwa kustart window,tatizo inaweza kuwa nin na solution yake?