Msaada: window imekamatwa nikiwa online.

Msaada: window imekamatwa nikiwa online.

deecharity

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
936
Reaction score
515
Wapendwa za jioni, jaman kwenye mashne yangu nilikua natumia window xp service pack2. Sasa leo nikiwa online ikawa imekamatwa kuwa ni pirated so nikadeside kuweka window seven7 without formatting... Nashkuru iko poa na data zangu zipo ok sasa msada ninaoomba ntairemove vp ile window xp? Mana siitaki na kwenye local dsk bado inadisplay japo inaandka window.old.... Na kama inawezekana kuitoa vp ntapoteza na data au? Msaada katika hili.
 
Back up data zako kaka/dada kisha format HDD alafu weka hiyo win 7 yako. Sijui nayo kama umepata halali au pirated! lool
 
kumbuka issue ya drivers pia, huenda win 7 imekubali kuload drivers zote coz imeupdate file la drivers la Xp, ukiformat uwe tayari kumiss baadhi ya drivers,

Ulichofanya hapo ni kwamba umeupdate files za Win Xp hutaweza kuiondoa na bado computer yako ibaki salama lazima utafanya installation upya, kwani kinachokukera wewe ni nini? labda uweke wazi
 
Nadhani kama umepandishia tu windows(uko na windows 2 ktk 1 pc) haitokua shida ukifuta folder la windows kongwe, vyenginevyo fuata ushauri hapo juu.
 
Back
Top Bottom