[msaada]window 8.1

Joined
Aug 19, 2012
Posts
86
Reaction score
18
habari wakuu, mimi natumia window 8.1 N built 9600(not activated) tatizo ni kwamba tangu jana nina experience some difficulty
matatizo nayokumbana nayo ni haya
1. nikifungua my computer inatumia muda mwingi kufunguka kiasi kwamba ikifika mwisho inagoma

2.nimejaribu kufungua task manager nikakutata kuna baadhi ya service hazirun yaani zimestop
3.nimefungua control panel lakini haionyeshi kitu
4.application zangu hazionyeshi icon pamoja na mafail hayaonyeshi kama yana data ndani yake lakini yana respond niki click

5.nikifungua mfano fail lenye music au movie default application yake ni vlc lakini yanaonyesha kama ni white sheet. msaada tafadhali wakuu
 
kaka I have no idea tatizo ni nini ila muda wote unaweza fanya system restore kurudisha nyuma hadi siku iliokua pc inafanya kazi fresh
 
thanks chief nimefanya restore and my system is back to normal it never occured in my mind to restore the system.
 
thanks chief nimefanya restore and my system is back to normal it never occured in my mind to restore the system.

ndo inabidi ukumbuke toka tarehe ulofanyia restore hadi kuanza tatizo ulifanya nini, hilo ndo litakua tatizo lako uliepuke ili pc isije kurudi tena kama hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…