Wamehack au umekuw blocked?Me naitaka hii Yan ina k 12 nianze moja [emoji45]
Mfano ukikosea nini... Mfano wa kosaBos hiyo ndo imeemda me wamefunga 516k nimeanza moja
Utaapeal mpk utachoka
Wanafunga sana ac sahiz ukikosea kdg tu
Instagram wanapoteana watu wamehamia TikTok sikuhiz hawana ujinga ujingaBos hiyo ndo imeemda me wamefunga 516k nimeanza moja
Utaapeal mpk utachoka
Wanafunga sana ac sahiz ukikosea kdg tu