Msaada Wifi yangu haitaki!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakuu natumia dell d 630 ina (wifi) connection inayowezesha kutumia internet iliyojiran kwa kuset tu. Kwa upande wa laptop yangu d630 kushoto kuna batan ya kuswich on wifi kwa kuisquiz ila kila nikifanya hvyo hamna responce yoyote ya kuwa wifi iko activ kwasabu hata ile taa ya wifi haiwaki Je tatizo ni nini na nifanye nini kuiwezesha hii wifi?
 
Go to device manager je iko driver sawasawa ya WIFI?kama iko sawa check hardware it self iko tight au loose ,kama tight na driver ok,yaweza kuwa wifi interface yenyewe malfunction!

deezer, btjunkie, games
 
Ukiona hairespond chochote ujue drivers za wifi hazijawa installed. Ili kuziinstall drivers hizo tembelea support.dell.com chagua aina ya computer na utapewa drivers za kudownload. baada ya kudownload na kuinstall drivers hizo WiFi yako itafanya kazi kama kawaida. Kama utahitaji msaada zaidi wa kuinstall hizo drivers unaweza kuniPM nami nitakusaidia
 
Wakuu natumia dell d 630 ina (wifi) connection inayowezesha kutumia internet iliyojiran kwa kuset tu. Kwa upande wa laptop yangu d630 kushoto kuna batan ya kuswich on wifi kwa kuisquiz ila kila nikifanya hvyo hamna responce yoyote ya kuwa wifi iko activ kwasabu hata ile taa ya wifi haiwaki Je tatizo ni nini na nifanye nini kuiwezesha hii wifi?

kwanza unatumia OS gani Microsoft variant au Unix Variant??
 
Wakuu natumia dell d 630 ina (wifi) connection inayowezesha kutumia internet iliyojiran kwa kuset tu. Kwa upande wa laptop yangu d630 kushoto kuna batan ya kuswich on wifi kwa kuisquiz ila kila nikifanya hvyo hamna responce yoyote ya kuwa wifi iko activ kwasabu hata ile taa ya wifi haiwaki Je tatizo ni nini na nifanye nini kuiwezesha hii wifi?
Daa,mi nilijua wifi yako haitaki hiyo computer so amekugawia,teh teh teh!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom