wanajf
nahitaji mwenye kujua ni software ipi nzuri kwa kuedit videos naomba aniambie ni ipi ili nieze kuidownload
na nataka ambayo ni free kuipata kwenye internet!
mkuu nadhani inategemea na complexity ya kazi unayotaka kufanyia pia...kama ni video tu za kawaida (home videos) au videos zenye quality kubwa for business..!! kama ni ishu za kawaida tu na hutaki complication nyiiingi we tumia window movie maker...ni simple na ipo poa sana..haina mbwembwe nyingi na ina vitu muhimu karibu vyote...
zaidi ya hapo mi huwa natumia power director na pinnacle kwa complex work ila zinahitaji uwe mtundu kiasi..
wanajf
nahitaji mwenye kujua ni software ipi nzuri kwa kuedit videos naomba aniambie ni ipi ili nieze kuidownload
na nataka ambayo ni free kuipata kwenye internet!