Msaada: WhatsApp imegoma kwenye simu yangu aina ya Tecno

Chemwali

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
397
178
Naomba usaidizi ...

Simu yangu ya TEcno Model BL 4-E iliangushwa na mtoto, baada ya hapo ikagoma kushow any maandishi zaidi ya neno Tecno ukiiwasha... Then inaagiza ufanye sijui configuration settings upya. Nikafanya hivyo kwa kuiunganisha kwa laptop then nikaireset...

Sasa ikawaka tho haitaki kukubali wasap. Nikiingia Play store na kuidownload upya hiyo application inajidownload then inaishia njiani kwa kutoa msg ya ERROR DOWNLOADING WHATSAP MESSENGER DUE TO AN ERROR (ERROR RETRIEVING INFORMATION FROM SERVER.(RPC:S-7: AEC-7 MAQ4-ORVH-ESG4Y

Any assistance please
 
Download hiyo WhatsApp kwa kutumia computer then iingize kisha ifunge itakubali
 
We ni F.ala nakwambia uje PM nikuelekeze umekazania watu wanokupa majibu yasiyo sahihi kweli magufuli anakazi aisee!
 
Asante lakini ilinibidi nimjibu kila mtu aliyepoteza muda wake kunijibu zamu yako ilikuwa haijafika
 
Halafu akitaka application nyingine atazipataje kama kitu hukijui ni vema kukaa kimyaa kuliko kutoa njia za panya.

duh ! ila yeye ametaka whatsaap tu mkuu ila hta akitaka apps nyingne anapata tu bila shida bila hata playstore

na wala hata siyo njia ya panya sema source nyingne tofauti na google ni WEB original ya whatsapp
 
Halafu akitaka application nyingine atazipataje kama kitu hukijui ni vema kukaa kimyaa kuliko kutoa njia za panya.

Kakwambia ni WhatsApp pekee ndio inayosumbua huwa sijibu vitu ambavyo sivifahamu fuatilia threads zangu zote nazowajibu watu na huwa sikurupuki
 
We ni F.ala nakwambia uje PM nikuelekeze umekazania watu wanokupa majibu yasiyo sahihi kweli magufuli anakazi aisee!

Mbona umekazania sana aje PM? kama kitu unajua kwa nini usikimwage hapa jukwaani nasi tusiojua tufaidike? Ubinafsi sio, na wala sio tabia zetu GT!
 
Naomba usaidizi ...

Simu yangu ya TEcno Model BL 4-E iliangushwa na mtoto, baada ya hapo ikagoma kushow any maandishi zaidi ya neno Tecno ukiiwasha... Then inaagiza ufanye sijui configuration settings upya. Nikafanya hivyo kwa kuiunganisha kwa laptop then nikaireset...

Sasa ikawaka tho haitaki kukubali wasap. Nikiingia Play store na kuidownload upya hiyo application inajidownload then inaishia njiani kwa kutoa msg ya ERROR DOWNLOADING WHATSAP MESSENGER DUE TO AN ERROR (ERROR RETRIEVING INFORMATION FROM SERVER.(RPC:S-7: AEC-7 MAQ4-ORVH-ESG4Y

Any assistance please

Ans: mkuu ingingiza kwenye google search engine/ you tube hili swali" ERROR RETRIEVING INFORMATION FROM SERVER.(RPC:S-7: AEC-7 MAQ4-ORVH-ESG4Y" ita kudirect on how to solve it with a video aid showing you step by step. Success.
 
Back
Top Bottom