Msaada: WhatsApp imegoma kwenye simu yangu aina ya Tecno

Msaada: WhatsApp imegoma kwenye simu yangu aina ya Tecno

je inaishia asilimia ngapi kwenye kudownload au inapoanza tu PIA JE KWENYE search engine yako inafanya kazi vizuri
kama ipo vizuri ni rahisi sana kuitibu kama bado kuna njia za kuiset intanet yako ndipo uendelee SIMU HAZIHITAJI PAPARA NI POLE PLE UNAITIBU USIHOFU MKUU
 
ukiona unasumbuka sana kaiflash mkuu maana tumetofautiana uvumilivu na huenda wasap ni muhimu sana kwako kwa updates za kikaz
 
download apk kupitia browser af install kumbuka ku uncheck unknown sources kwanza
 
Back
Top Bottom