HTC freestyle imenishinda kabisa kuweka application zaidi ya opera tu...na nikijaribu kufungua hii at&t Application store inaleta error
Any idea please.
Nikiangalia OS yake ni 'Brew Mobile' sina hakika kama whatsapp wana application kwa ajili ya hii OS ila ngoja waliotumia hii simu waje na uzoefu wao zaidi.