marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,320
Hio apps ya mziki wa kudowload?Samahani naombeni kujua kama kuna mtu alishawahi kununua application yeyote ile play store; alinunuaje maana kuna application flani ya music nataka kuinunua ni ya Sony ila mimi nilifanikiwa kudownload trial so nimeipenda nataka ninunue ili niitumie kwa uhuru sasa.
Nawasilisha.
Kwan hakuna cracked version yake kwingne mpaka ukanunue play store?Samahani naombeni kujua kama kuna mtu alishawahi kununua application yeyote ile play store; alinunuaje maana kuna application flani ya music nataka kuinunua ni ya Sony ila mimi nilifanikiwa kudownload trial so nimeipenda nataka ninunue ili niitumie kwa uhuru sasa.
Nawasilisha.
Yeah ninayouna kadi ya benki ya viza au master card?
Ni apps ya kucheza mziki mkuuHio apps ya mziki wa kudowload?
Hapana kijanaNimekuja fasta nikijua tayar wannacry ashakuvamia na umeambiwa ulipe us dola 300. Kumbe stor za manunuzi
Sijajua hata jinsi ya kupata cracked version.Kwan hakuna cracked version yake kwingne mpaka ukanunue play store?
Chukua hii bure kwenye search andika muimbaji unaemtaka halafu uta download wimbo wake bure. Inaitwa AudiomackNi apps ya kucheza mziki mkuu
Ahsante mkuuChukua hii bure kwenye search andika muimbaji unaemtaka halafu uta download wimbo wake bure. Inaitwa Audiomack
Umefanikiwa?Ahsante mkuu
nenda benki yako husika waambie wakufungulie ifanye kazi online, halafu playstore jaribu kununua kitu watakwambia ujaze details za kadi yako ya bank utajaza then utaweza kununuaYeah ninayo
Ingia Google andika jina la hiyo app umalizie na na maneno "cracked apk" znatakuja sites zilizohost hiyo app utachagua ww mwenyew sasa.Sijajua hata jinsi ya kupata cracked version.
HahahqNimekuja fasta nikijua tayar wannacry ashakuvamia na umeambiwa ulipe us dola 300. Kumbe stor za manunuzi
Mkuu ingia YouTube search how to get Sony app for free watakuonyesha link kwenye video discription itakupeleka moja kwa moja kwenye kushushaSamahani naombeni kujua kama kuna mtu alishawahi kununua application yeyote ile play store; alinunuaje maana kuna application flani ya music nataka kuinunua ni ya Sony ila mimi nilifanikiwa kudownload trial so nimeipenda nataka ninunue ili niitumie kwa uhuru sasa.
Nawasilisha.
kwi kwi kwi kwi kwiHahahq