Msaada wenu Wataalamu wa mambo ya Speaker System

Mudugu

Senior Member
Mar 17, 2018
140
130
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku.

Nahitaji msaada toka kwenu nina Subwoofer aina ya aborder (Model: AB 3350 imekumbwa na tatizo la sauti). Ninapoiwasha inatoa sauti ya chini sana wakati volume ipo mwisho

Tatizo ni nini?

Wakuu nisaidieni.
 
1. fungua ndani upime ohms ya spka ikisoma kuanzia 4,6,8>>>>, itakua nzima ila ikisoma 1 au 0 ujue imekufa

2. Angalia power suply kama umeme unafka vzr kila eneo.

3. Kama tweeta znpga vzuri? bas ndo inazingua angalia TRANSISTOR uzibadili
 
Asante mkuu kwa mchango wako
 
1. fungua ndani upime ohms ya spka ikisoma kuanzia 4,6,8>>>>, itakua nzima ila ikisoma 1 au 0 ujue imekufa

2. Angalia power suply kama umeme unafka vzr kila eneo.

3. Kama tweeta znpga vzuri? bas ndo inazingua angalia TRANSISTOR uzibadili
Mkuu kwaujumla yenyewe inaskika kwambalii sana mpaka uisikilizie ndo ungundue kuwa ina piga muziki
 
1. fungua ndani upime ohms ya spka ikisoma kuanzia 4,6,8>>>>, itakua nzima ila ikisoma 1 au 0 ujue imekufa

2. Angalia power suply kama umeme unafka vzr kila eneo.

3. Kama tweeta znpga vzuri? bas ndo inazingua angalia TRANSISTOR uzibadili
Huwa naonaga Mara nyingi transistor za bas (ktk sabufa nyingi nilizoziona) zinakufa na kuacha twita zikiendelea kufanya kazi.
Sababu ni zipi zinazofanya transistor za bas kufa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom