Nahitaji kuanzisha kiwanda kidogo chakutengeneza chakula cha kuku bleed za kienyeji kuku chotala,malawi,nk………
ninamtaji wa milion 7
nilazima nijisajili (TBS) NIWE NA (KAMPUNY)?
Je viloba vyakuekea chakula vya kg 50 nilazima nivichapishe logo
nahitaji mawazo yenu nifanikishe project yangu