msaada wenu wana jamvi kwa yoyote anaezifahamu shule za o level wanazofundisha vizuli

indian mark 2

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
397
301
kama nilivyoeleza hapo juu.nina kijana wangu amefeli kidato cha nne mwaka jana nikaona ni bola nimtafutie shule arudie kidato cha pili hivyo kwa yoyote yule anaezifahamu shule nzuli ambazo wanafundisha vizuli lakin na ada iwe ahueni kidogo zenye ada zinazo anzia 1.3M kuludi chini maana uwezo wangu kifedha sio mkubwa sana hivyo zikianzia ada hio ntakuwa na uwezo wa kulipia, kwa yoyote anezifahamu anisaidie jina la shule na sehemu ilipo na mawasiliano kama utakua nayo msaada wenu ndugu zangu manake nimejitaidi kutafuta nyingi ada zimenishinda ni kubwa ndomna nikawaomba kwa ada hiyo kushuka ..asanteni ..nice weekend
 
Back
Top Bottom