Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Wakuu naomba mnisaidie
kimawazo mwenzenu, je inawezekana kwa mwanaume kuoa mke anaemzidi umri
maana kwa kawaida mwanaume ndiye anaetakiwa amzidi umri
mwanamke!
Well said my dia
Nami nashangaa pia ivi umri ndo unaoa au unatakiwa umtafute mtu anayekupa upendo na roho yako impende
Umri ni no tuu
Mie mke Wangu namzidi miaka 20 je nisawa?
Nahisi tatizo.ndoa za Siku hz relations included zimebase sana on presha za life and not on feelings to be responsible
Tunaoa/kuolew sababu niazoea ndo maana sishangai ishu kama hiii mti kujali sana umri au salary ya MTU kuliko how ready the guy(woman/man) is willing to sacrifice himself/herself for her/him
No matter how many men she dated/women he dated
Ho much she/he looks ugly
Of she/he makes u real happy as uaself what else do u need
Thanks luv#ICHANA
Amekuzidi miaka mingap mkuu?
MAMA. watoto hujambo au za asubuhi bibieafu ukiamka asubuh umsalimiaje?
miaka 4 mkuu....
MAMA. watoto hujambo au za asubuhi bibie
Duuh mkuu ni kama wangu kabisa vp lakin mnaishi vizur tu na hakuna difference yan yeye kuonekana mkubwa na wewe kuonekana mdogo?