Inawezekana...ndoa ni zaidi ya tofauti ya miaka...misingi imara ya ndoa ni maelewano, mawasiliano, upendo, heshima, uvumilivu etc... wengine wataongezea....chukua list ya wachangiaji wengine alafu miaka/age difference kiwe ni kitu cha mwisho kwenye hiyo orodha.