chief chakicha
Member
- Nov 3, 2018
- 61
- 67
Biashara ya sembe inalipa sana asikwambie unauza pumba, makande pamoja na unga. Ukitaka kupata mali ghafi kwa bei nzuri cheza na madalali na bei ya sokoni.
Fanya mpango maligafi ikufikie na siyo uifuate iliko.
Mwaka huu mahindi yamepanda sana bei, ila bado ukifanya inalipa sembe kg25 bei ni 25500 mpaka 27000 pumba gunia 18000 mpaka 20000
Kama wafanyakazi ni wengi punguza ili upate faida nzuri
Biashara nyingi siku hizi ni credit na siyo sell in cash ukitaka cash sell utapiga loss.
Kama una gari fanya mobile shop wafanyabiashara siku hizi wanataka bata masuala ya kufuata mzigo godaoni hawafuati mizigo inawafikia kitandani tu.
Uko wapi ?
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana!!!!

Mkuu kama una gari au watu wanaoenda mikoani unaweza ukatoboa kabisa mwezi wa 4 au 5 nunua mahindi yako magunia hata 300 kama una mtaji kwa kila gunia ni 50000 tu au punguzo zaidiKifupi tuu ninapokwama bado sijapajua japo nahisi labda ni tatizo la usimamizi maana.
1. Mashine zote ni zangu
2. Vifaa/tools vyote zinazohutajika ili kukamilisha ukoboaji,usagani hadi parking vipo
3. Gari kwa ajili ya usambazaji japo ni mbovu mbovu ila inakwenda na inarudi lipo,
4. Nilicho kodi ni eneo la kufanyia kazi tuu.
Kutokana na maelezo yako mimi nadhani shida yako iko kwenye ''malighafi''. Hawa madalali siyo watu wa kuwategemea kabisa kabisa. Moja ya sifa ya kuwa dalali kwa Tanzania ni kuwa na elements za utapeli. Nadhani wewe unatakiwa kufuata mzigo kutoka kwa wakulima, na hasa kama una uwezo usubiri bei ya mahindi inaposhuka sana, ununue mengi na kuyahifadhi vizuri godown. Baada ya hapo kazi yako itakuwa na ku ya process tu.Kifupi tuu ninapokwama bado sijapajua japo nahisi labda ni tatizo la usimamizi maana.
1. Mashine zote ni zangu
2. Vifaa/tools vyote zinazohutajika ili kukamilisha ukoboaji,usagani hadi parking vipo
3. Gari kwa ajili ya usambazaji japo ni mbovu mbovu ila inakwenda na inarudi lipo,
4. Nilicho kodi ni eneo la kufanyia kazi tuu.
Yaa ila gari niliyonayo kama nilivyosena niyakusambazia tuu maana ni canter tani 2 japo kibongo bongo hadi tani 4 inabeba. Hii kwa kufuata mizigo mikoani haifai, ni town trips kwa ajili ya door to door distribution tuu.Mkuu kama una gari au watu wanaoenda mikoani unaweza ukatoboa kabisa mwezi wa 4 au 5 nunua mahindi yako magunia hata 300 kama una mtaji kwa kila gunia ni 50000 tu au punguzo zaidi
Story za madalali wa kibongo ni hatari sana.Kutokana na maelezo yako mimi nadhani shida yako iko kwenye ''malighafi''. Hawa madalali siyo watu wa kuwategemea kabisa kabisa. Moja ya sifa ya kuwa dalali kwa Tanzania ni kuwa na elements za utapeli. Nadhani wewe unatakiwa kufuata mzigo kutoka kwa wakulima, na hasa kama una uwezo usubiri bei ya mahindi inaposhuka sana, ununue mengi na kuyahifadhi vizuri godown. Baada ya hapo kazi yako itakuwa na ku ya process tu.