Msaada wenu wakuu

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,784
Reaction score
12,592
Naomba kujuzwa app ya kuconvert faili la mp4 ili iplay kwenye deki, kama ipo maana yangu haiplay mp4
 
Kama Una Computer Tumia FORMAT FACTORY... itacovert kwenda Popote Hata Mp3, Lakini Pia Nafikili VLC MEDIA PLAYER ya computer nayo inafanya hiyo kazi....
 
Kama Una Computer Tumia FORMAT FACTORY... itacovert kwenda Popote Hata Mp3, Lakini Pia Nafikili VLC MEDIA PLAYER ya computer nayo inafanya hiyo kazi....
Mkuu sina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…