sidhan kama hio simu ina suport video za youtube kwa kustream badala yake unatakiwa uangalie video za youtube kwa kuzidownload
Tumia site hizi kudownload video za youtube.
Vuclip web video search
Tubidy Free 3GP Mobile Videos
Hio ishu yako ya kwanza hujasema unatumia browser gani ni ovi au opera kama ni ovi jaribu badili na utumie opera na kama ni opera jaribu badili tumia ovi browser