Msaada wenu wa Kusoma Online | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu wa Kusoma Online

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mwazani, May 28, 2010.

 1. Mwazani

  Mwazani Member

  #1
  May 28, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari,
  Wapendwa, ningependa nijiendeleze kielimu kwa kupata elimu kwa njia ya Online.
  Nini advantages and disadvanteges za kusoma online?
  Pia mwenye list ya vyuo ambavyo vinatoa huduma hiyo naomba aviweke hapa.
  Mimi nipo Tanzania.

  Thanks.
   
 2. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Hii ilkuwa hoja ya msingi lakini wabongo wameipotezea matokeo yake utawakuta wako wanachangia zaidi kwenye topic za mahusiano zaidi kurasa tatu, tutafika kweliiiiiiii??????????
   
 3. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tembelea banda la UDSM maonyesho ya sabasaba specifically kwenye College of ICT (COICT) na uulize ilipo Centre for Virtual Learning, utapata kila kitu pale. Alternaively, visit hii website:

  cvl.udsm.ac.tz
   
Loading...