msaada wenu wa haraka ndugu zangu

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
Jamani nilikuwa na root simu yangu ya samasung galaxy pocket nilivyo maliza nika click reboot recovery simu ikajizima toka hapo haijawaka hadi sasa, nikatoa betri lakini nikawasha tena imegoma nikajaribu kuweka kwenye chaji haionyeshi chochote wadau najua hapa jf tatizo lang litatatuliwa natanguliza shukrani na nasubiria msaada wenu.:embarrassed1::embarrassed1:
 
Je! Inakubali kukaa download mode?
 
umeinunua wapi hiyo? kama ni pale karibu na taafif au Twiga Bankcorp imekula kwako ni majanga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…