Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
Ahahahah we chizi kweli, nimecheka kidogo nigonge gariPositive attracts negative
mi nikiwa na urafiki na msichana ntamuomba mbunye tu ....
Dah, ahahahaha nakugawaaaukiwa na marafiki wa kiume kuliwa jicho inakuwa ngumu sana......
japo pia inategemea maana sio wote wengn wana marafiki wa kiume wengi na wahuni wanakula tuu bila hiyana
alaf madem kama hawo wanakuwa na pigo za kiume alaf sio watamu inshort hawana ladha japo wanakuwa wazur ki K
Duuu....unanitisha mkuu....my partener ana marafiki wa kiume lukuki ....anadai wanamsaidia mishe zake kibao za biashara....asa nimesoma post ako ....kengele ya hatar ime beepWanawake malaya wote wana rafiki wengi wa kiume
Haya nimerudi tena naombeni mawazo yenu,
Hapo zamani za kale, nilipataga bwana, alikuwa mtu mzima, alinipita miaka 13. Katika mahaba kolea na maongezi ya Honey Moon (Stage ya mwanzo ya mahusiano) na kufahamiana, yule bwana akaniuliza,
Bwana: baby una marafiki wa kike?!
Money Penny: Mh, hapana sina,
Bwana: sasa rafkiako wa kike ni nani?!
Money Penny: Mama yangu tu na dada zangu 2, waliobaki ni wa kiume tu, sinaga rafiki wa kike
Bwana: du! Basi wewe utakuwa mkorofi, marafiki wa kiume tuu!
Money Penny: nikashangaa kisela! Nikameza maneno yake, nikampoa ktk iyo sekta
Baadae nikawa najiuliza kwani kuwa na marafiki na watoto wa kiume ina maana unakuwa mkorofi?!
Huyu bwana alikuwa anajaribu kuniambia nini labda?!
Au aliogopa nitakuwa mjanja sana akiniweka ndani na kuhofia kuwa najua panya road za kiume na chobingo zote atashindwa kunidhibiti?
Msaada wenu wana familia JF!
Maana nimeletewa kesi kama hii na wakina dada
Ps:
Mimi sikiwaga Tom Girl jamaaa!
Sasa wanaume hamtaki tuwe na marafiki wa kiume? Kiru!
Kwa nini dearMi marafiki wa kike wamenishinda kabisa!!!
Basi tu nimeshindwa kwenda nao sambamba!Kwa nini dear
kwa hiyo companion yako kubwa ni KIUMENIBasi tu nimeshindwa kwenda nao sambamba!
Ndio!kwa hiyo companion yako kubwa ni ME
Sometimes labda ni kushindwana tabia baina yenu binafsi ndio maana unakuta una marafiki wengi wa kiume...ila hakuna ubayaHaya nimerudi tena naombeni mawazo yenu,
Hapo zamani za kale, nilipataga bwana, alikuwa mtu mzima, alinipita miaka 13. Katika mahaba kolea na maongezi ya Honey Moon (Stage ya mwanzo ya mahusiano) na kufahamiana, yule bwana akaniuliza,
Bwana: baby una marafiki wa kike?!
Money Penny: Mh, hapana sina,
Bwana: sasa rafkiako wa kike ni nani?!
Money Penny: Mama yangu tu na dada zangu 2, waliobaki ni wa kiume tu, sinaga rafiki wa kike
Bwana: du! Basi wewe utakuwa mkorofi, marafiki wa kiume tuu!
Money Penny: nikashangaa kisela! Nikameza maneno yake, nikampoa ktk iyo sekta
Baadae nikawa najiuliza kwani kuwa na marafiki na watoto wa kiume ina maana unakuwa mkorofi?!
Huyu bwana alikuwa anajaribu kuniambia nini labda?!
Au aliogopa nitakuwa mjanja sana akiniweka ndani na kuhofia kuwa najua panya road za kiume na chobingo zote atashindwa kunidhibiti?
Msaada wenu wana familia JF!
Maana nimeletewa kesi kama hii na wakina dada
Ps:
Mimi sikiwaga Tom Girl jamaaa!
Sasa wanaume hamtaki tuwe na marafiki wa kiume? Kiru!
Uko njema Bibie...Ndio!
wanawake wanaokuwa na marafiki wa kike huwa na sura ngumu mara nyingi.. kuna kaukweliMi marafiki wa kike wamenishinda kabisa!!!
Looo! Labda... Ila nimejifunza mengi ko mwanaume hanirubuni kijinga! Na naweza nilale na mwanaume kitanda kimoja na nikauchapa usingizi bila kufikiria chochote kibaya!wanawake wanaokuwa na marafiki wa kike huwa na sura ngumu mara nyingi.. kuna kaukweli
yani ulale na mwanaume ukiwa na chupi tu na bado usiwe na nyege nae?Looo! Labda... Ila nimejifunza mengi ko mwanaume hanirubuni kijinga! Na naweza nilale na mwanaume kitanda kimoja na nikauchapa usingizi bila kufikiria chochote kibaya!