Msaada wenu unahtajika waungwana

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Yapata saa mbili asubuhi ya leo ndipo niliweza kwenda. Watu bwana nmekimbia kuanzia kuanzia moshono mpaka kijenge nakapita keepreft nikanyoosha mpaka njiro. Ha ha haaa. Chezea mie ww - mtot mkali yule lakin ananukia majani ya chai spea tair na mpira
 
Kama kuna mtaalam wa magonjwa ya akili tunaomba atusaidie kwa huyu mtu.
 
Yapata saa mbili asubuhi ya leo ndipo niliweza kwenda. Watu bwana nmekimbia kuanzia kuanzia moshono mpaka kijenge nakapita keepreft nikanyoosha mpaka njiro. Ha ha haaa. Chezea mie ww - mtot mkali yule lakin ananukia majani ya chai spea tair na mpira

Labda Huyu na yeye atakuwa ametumia mjani Kama breakfast


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haya ndio madhara ya kuvuta bangi asubuhi au kunywa viroba....!
 
wewe ulipitia ugoro bana !!! sema ukweli usaidiwe!

 
Imenibidi nicheke peke yangu...... Hivi ameandika hayo kwa kufikir kutumia ubongo au ametumia makalio?! Bangi inawaangamiza vijana
 
Thanx Karucee achague kumpokea Yesu or mirembe plus police imuhusu kwa kuleta usumbufu....
 
Last edited by a moderator:
miss u too...
come this way achana na hyu bangi inamsumbua

toka jana nakutafuta mama! wapi ulikuwa lakini?

ujue mi naungua mapafu nisipokuona! unajua hilo lakini?
 
Wacha weeeeee

Nimekuja tulia

ewaaa!! nakuaminia! sasa ckia, kuna sumu ya maana sana nataka nikutemee hapa hapa!

kama vp kaa kijeshi jeshi kupokea kombati kudadeki...
 
Hakuonekana na binti ... lakini alikufa kwa ngoma

Adui wa zinaa .... iiii

Ni kijana mtanashati ....

Nyumba aipendayo angechagua ya ibada ... mimi najali wewe je
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…