Hamjambo wana JF. Computer yangu iliingiliwa na virus na C drive , D drive na Flash disk vyote vikabadilika majina mfano C Drive ipo na herufi AOX0.... halafu C inafuata na D drive hivyohivyo ni jinsi gani naweza kutoa hayo maherufi mengine.
Asanteni