Msaada wenu unahitajika wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu unahitajika wakuu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by gwambali, Jun 1, 2011.

 1. g

  gwambali JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Habari wakuu,

  nina laptop ya compaq hp nc6220
  pentium m, nilikuwa naitumia pasipo na tatizo lolote , juzu niliitumia kuizima baada ya kumaliza kazi zangu.

  Jana naiwasha ina niletea error MSG (NON-Disk or disk error) nikajaribu njia zote nazozijua. Nimejaribu kutembelea website ya hp na kusoma maelekezo yao ya kuremove usb/cd/dvd bado tatizo lipo pake pale, nimenunua hdd mpya hamna kitu, pia haikubali ku-boot toka kwenye cdroom japokuwa cd nilizonazo ni bootable.. Msaada tafadhali
   
 2. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hiyo laptop itakuwa imeshake so angalia connection za kwenye hard disk kama ziko ok kwa sababu signal kutoka kwenye hard disk haipo,nenda kwenye boot sequence au bios angalia kama hiyo hard disk inaonekana kama haipo ndio ucheki connector ya kwenye hard disk.
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  umejaribu kubadilisha data cable ya hyo disk?je umeweka settings vzuri?yaani ianze mwanzo kuboot frm cd?
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Bado ipo kwennye warranty? Is so warudishie wakafix. If not na kama hauna utaalamu wa computer hasa hardware peleka kwa fundi.
   
 5. g

  gwambali JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu, connector hazina shida, kwani nikiingia kwenye bios setup naiona HDD na nikifanya hdd test ina kubali na kuonyesha haina shida.... tatizo kwamba haiboot kwa njia yoyote iwe ya HDD au CDROOM na setting za boot Order nimeziweka sawa tu.... Mara nyingine ina niletea 1782 error disk controller failure
   
 6. g

  gwambali JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama cable zina tatizo kwani hard disk inaonekana kwenye bios setup pamoja na cdrom.... Ndio nimeset cd iwe ya kwanza kuboot pasipo mafanikio... pia nimejaribu external cdrom nayo imegoma kuboot.
   
 7. g

  gwambali JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hapana mkuu imekwisha muda wake... mimi ni mtaalamu kiasi chake ndugu.
   
 8. M

  Mantz Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 96
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15

  Nilishapata tatizo kama lako. Angalia kwenye device manager utakuta inadisplay removable disk nyingi itabidi uzi disable.
   
 9. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Problem solved yet?!! if not fanya hii kitu

  1- toa battery
  2-ifungue laptop
  3-toa cmos battery(ipoteze memory yako. CMOS ni ka bettry fulani hivi kama ya saa)
  4-toa ram.
  5-after few minutes irudishie vitu vyake!!

  NIA NI KWAMBA KUIPOTEZA AKILI KWA MUDA NI SAWA NA KURESET INTO FACTORY SETTING ILA NI HARDWAY BILA KUPITIA KWENYE BIOS SETTING...COZ CMOS BATTERY BADO INATUNZA KUMBUKUMBU ENDAPO LAPTOP IMEZIMWA .

  after that washa na utaona computer inakuuliza leo ni lini!!!! hehe kila kitu powaaaaa!!

  I HOPE THIS WILL FIX IT!!
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Q. What causes a non-system disk error?
  A. Non-System Disk or Disk Error results when the Basic Input/Output System (BIOS) cannot find the boot sector or the master boot record is missing or damaged; i.e. the device does not have bootable media. The BIOS searches drives in the order usually specified in the CMOS Setup. This order is often, but not always, A: (floppy drive), C: (first partition on the hard disk)… The error will occur during startup if the CMOS is set so the BIOS seeks the floppy drive first and a non-bootable
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
 12. g

  gwambali JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu, asante kwa maoni yako... Tatizo langu ni tofauti na lako kabisa, yaani computer yangu inawaka hadi kwenye bios setup tu na kuniletea hiyo error msg, hai-load windows kabisa na haitaki kuboot kupitia cdrom yenye os ambayo ni bootable....
   
 13. g

  gwambali JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Bado mkuu.... Aisee umenipa idea ambayo nilikuwa sijaifikiria na hope itatatua tatizo langu.... Ngoja niifanyie kazi then nitarudi kutoa feedback...
   
 14. g

  gwambali JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nadhani tatizo lipo kwenye maandishi niliyo ya bold.... hata hivyo najiuliza ni kwa nini itambue hdd na cdrom na ishindwe kuboot hata toka kwenye bootable cd?
   
 15. g

  gwambali JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Shukrani ndugu. ila tatizo linalozungumziwa hapa ni tofauti na la kwangu, ili kwenye hii link inazungumzia computer ambayo imeload windows tayari na ina leta pop up windows non-disk or disk error... Asante kwa mchango wako mkuu.
   
 16. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ebu jaribu kutimua external DVD drive amabayo Unaweza kuazima sio lazima ununue.

  External DVD innaweza kuinganishwa na Laptop through USB port. Maana ya hiyo error inashinwa kuona HDD. kama umeweka HDD mpya bado tatizo lipo basi ni suala na connection kati ya HDD na mother board.

  Je ilidondoka?
   
 17. networker

  networker JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  ilo lisha nikuta kipindi fulani .nikapeleka kwa watalamu wakaniambia the problem ni kwamba bios ina kuwa kama ime expire(out of date)na inasababishwa na kutokuwa na software za ku update drivers za mashine kama mashine not window .mashine .jaribu kwenda computer center posta imepakana na duka la magari ya land rover.au hp upanga.watakagua mashine nzima kwa gharama ya 47000 na kama kunatatizo jingine watakuambia .
  kwa watu wengine najua kupata driver scanner programs ni ngumu sana haswa kwenye licence keys zake .download uniblue driverscanner afu licence keys zake tafuta kwenye youtube ziko kibao mashine inatuka safi .kabla mambo hayaja haribika .
   
 18. v

  valid statement JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  tatizo liliisha mkuu gwambali.embu rudi jamvini utueleze ili wenye tatitzo kama lako tujue cha kufanya.
   
Loading...