Pole. Inaonyesha kwenye kumchoma sindano kuna kosa lilifanyika. Uko sehemu gani? Kama ni Dar kuna hopsital zenye ma-specialist wa watoto au kuna specialist wenye hospital za watoto tu. Mpeleke.Hiyo iliyoandikwa Flumox ndo nimeambiwa kuwa ni ya kuondoa huo uvimbe, sasa sijui nimsikilize huyu aliyenipa dawa au huyu aliyesema apasuliwe.View attachment 2944377
Sijui tulikwama wapi. Siyo madaktari tu ila kila kada ni majanga. Wanasheria hola. Mainjinia hola. Ni tatizo la mfumo wa elimu mbaya. Watu wanakariri ili kushinda mitihani bila kuelewa.Madaktari wengi wa Tanzania wasenge sana