Msaada wenu tafadhali

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habar zenu wana MMU, tangu wiki iliyoisha nimepatwa na masahibu ya kujigi jigi over performance. Lile tunaloliita kihere here a.k.a bao la kwanza kwangu imekuwa tofauti maana nachukua mda mrefu mpk nachoka na kupumzika wakat huo mamsapu kashaachia bao 4 au 5 lkn mie ndo nalitafta ilo la kwanza.

Je hili ni tatizo niende hospitali au ni mwili tu?
NB. Kabla ya hapo ilikuwa natumia dk 2 au 3 kupiga bao la kwanza, na la pili ndio nilikuwa natumia mda mwingi wa mpk dk 15 au 20.
 

acha kabisa!!
 
Kama hujamuoa acha kabisa....
ILA kama umemuoa mwambie aongeze mashambulizi ili uwahi....
 
lipia hilo tangazo... me ndo mhasibu. nataka pesa za tangazo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…