Msaada wenu tafadhali

Double mimi

New Member
Nov 9, 2016
1
20
Mimi niliomba chuo kwenda kusoma degree kwa sifa za equivalent na nikachaguliwa chuo kimojawapo hapa nchini nilijulishwa kupitia profile account yangu .Baadae nikafutwa na kufungiwa account yangu ikieleza wanafanya selection.Msaada wenu jamani tatizo litakuwa ni nini na nifanye nini katika hili.Tafadhali
 
don4

Member
Oct 5, 2016
5
45

Tafuta jambo lingine la kufanya
 
cochiko

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
266
225
Ingia cas shuka chini kwenye view provisional results for 2016/2017 click hapo kisha ingiza index no yako utapata majibu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom