J Jurisupridence Member Joined Apr 3, 2013 Posts 24 Reaction score 1 Sep 16, 2015 #1 mwenye uhakika na E mail ya wizara ya elimu ambayo ipo active kwa katibu mkuu aweke bayana kwani inayosomeka kwenye home page yao ya website yao haipo active hata ile ya PS wa katibu mkuu.msaada please naomba mwenye nayo.
mwenye uhakika na E mail ya wizara ya elimu ambayo ipo active kwa katibu mkuu aweke bayana kwani inayosomeka kwenye home page yao ya website yao haipo active hata ile ya PS wa katibu mkuu.msaada please naomba mwenye nayo.
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Sep 16, 2015 #2 Dokeza shida tukusaidie utume wap huo ujumbe ili umfikie
phitter Senior Member Joined Dec 1, 2014 Posts 158 Reaction score 173 Sep 16, 2015 #3 Unatatizo gan kwani??? Kila wizara ni kubwa