Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

teledam

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
927
1,239
Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
 
Angalia maji unayotumia kk nilishawahipata shida ya kuwashwa kumbe maji yalikua yanakaa muda mrefu kwa tank nilivyobadili makazi ikawa basi
 
Orodhesha dawa ulizoandikiwa na Dr wako na ambazo umewehi kutumia katika kipindi chote cha ugonjwa wako.
NB:Zingatia usafi vinginevo Pumbu zitazidi Ku undergo erosion
Clotrimasole
Tineacide na cream nyingine ambazo hata majina siyakumbuki but sijaona kama vimenisaidia. Usafi sawa, najikausha na towel but still persisted..nawaza sijui ninunue dryer ndogo?
 
Mala nyingi hiyo utokea unapokuwa na unyevu sehemu nyeti jaribu unapooga unakuwa mkavu na hizo sehemu zote nyeti zisiwe na maji maji pengine hayo maji maji uleta bactelia zenyekufanya ujikune sana
Asante kwa ushauri Mkuu. Aise huwa najikausha vizuri tu..kwa huu ushauri hadi nielmewaza kununua dryer
 
kunywa punje za vitunguu swaumu mbili moja asubuh moja jioni kwa muda wa miezi mitatu,
ANGALIZO.kama una presha ya kushuka usitumie maana vitunguu swaumu huwa vinashusha presha,pia jaribu injection hizo fangasi ni chronic mkuu bila injection hizo zitakusumbua sana ziko kwenye damu
 
Asante kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom